• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

TAARIFA KWA UMMA

Imewekwa Tarehe: January 1st, 2024

TAARIFA KWA UMMA


Kupitia Mitandao ya kijamii na Simu za Mkononi kumeibuka Matapeli wanaomba taarifa za Watumishi wa umma kwa malengo yanayokinzana na  Sheria,Taratibu na Kanuni za Serikali.


Aidha wamekuwa wakitumia jina na Mkurugenzi Mtendaji  Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Ndugu Renatus Mchau pamoja na Maofisa wa idara ya Utumishi Kuhalalisha uovu huo.


Kwa nyakati tofauti Matapeli wamekuwa wakiwalaghai watumishi kuwa watawasaidia kupanda Madaraja,  Uhamisho, kuwarekebishia taarifa za utumishi na wakati mwingine kuwatishia kuwa wakishindwa kutoa ushirikiano watasitisha ajira zao.


 Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe iliyopo Mkabala na Benki ya NMB imekuwa ikifuata taratibu zote kuhakikisha maslahi na Stahiki  za mtumishi pamoja ustawi wake yanalindwa kwa maendeleo ya taifa letu.


Kufikia hilo Idara ya utumishi imekuwa ikiyafanyia kazi Maslahi  na Stahiki za  watumishi wake kwa kutumia kanzi data iliyopo na wakati mwingine huwafikia watumishi katika maeneo yao ya kazi kwa lengo la kutoa elimu sambamba na upatikanaji wa taarifa sahihi za mtumishi.


Hivyo Kwa taarifa hii Watumishi wote  Mnakumbushwa kuepuka kutoa taarifa za utumishi  au eneo lako la kazi kwa mtu asiye sahihi kwani kufanya hivyo kunakinzana na Sheria pamoja na Utaratibu wa utumishi wa umma.


Noah Kibona

Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini

Halmashauri (W)Rungwe

01.01.2024



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa