• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

STEND YA DALADALA KUKARABATIWA

Imewekwa Tarehe: August 25th, 2023

Halmashauri ya wilaya ya Rungwe  kwa kutumia Mapato yake ya ndani inaendelea na ukarabati wa stendi ya Mabasi Madogo iliyopo mkabala na Stendi kuu katika mji wa Tukuyu hatua itakayoboresha mazingira ya utoaji huduma ya usafiri kwa Wananchi.


Kwa mujibu wa Mpango wa Bajeti ya Mwaka wa fedha 2023/ 24 , Stendi itakarabatiwa na kuwekewa " Tofali ngumu" ( Pavements blocks) na kufungwa taa hatua itakayorahisha shughuli ya usafirishaji na biashara kwa wakazi wa wilaya ya Rungwe na Tanzania kwa ujumla.


Kwa mwaka huu pia stendi  hii itawekewa jiwe la Msingi na Mbio za Mwenge  siku ya tarehe 7.9.2023 ambapo Kimkoa utapokelewa katika kijiji cha Ikuti ukitokea Wilaya ya Ileje mkoani Songwe

Matangazo

  • NAFASI ZA AJIRA ZA MUDA July 14, 2023
  • AJIRA ZA MUDA (MKATABA) July 14, 2023
  • TANGAZO NAFASI ZA MAFUNZO JKT September 01, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI May 25, 2022
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • RUNGWE HATUPOI

    September 29, 2023
  • RUNGWE YAVUKA MALENGO CHANJO YA POLIO

    September 27, 2023
  • CHANJO YA POLIO YATOLEWA RUNGWE

    September 21, 2023
  • DC HANIU AFANYA ZIARA LUPEPO

    September 20, 2023
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa