• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

SIKU YA LISHE YAADHIMISHWA RUNGWE

Imewekwa Tarehe: October 30th, 2023

SIKU YA LISHE YAADHIMISHWA


Maadhimisho ya siku ya Lishe kitaifa katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe yamefanyika leo katika uwanja wa shule ya Msingi Katumba II ,   Mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe.Jaffar Haniu.


Mhe Haniu amepongeza kwa hatua nzuri ya lishe iliyofikiwa katika Wilaya ya Rungwe akitaja kuwa Udumavu kwa watoto kwa sasa umefikia asilimia 26%


 Mhe Haniu ameeleza kuwa Takwimu hizi zimewezekana baada ya wananchi kuanza kuitikia wito wa kula chakula bora chenye viini lishe na hivyo kuondoa Utapiamlo Pamoja na Udumavu.


Ameeleza kuwa changamoto ya ukosefu wa lishe itazidi kutokomezwa kwa kuendelea kutoa elimu ya uelewa wa masuala ya lishe  katika jamii, ngazi ya familia, watendaji na viongozi wa serikali.


Aidha lishe imesaidia kupandisha kiwango cha ufaulu ambapo katika mitihani ya utamilifu(MOCK)  pamoja na Taifa(NECTA) wanafunzi wamekuwa wakifanya vizuri kutokana na lishe.


Kwa miaka mitano mfululizo Rungwe imekuwa ikishika nafasi ya pili  katika Mkoa wa Mbeya baada ya Jiji katika mitihani yote na mpango ni kushika nafasi ya kwanza 2023/2024


Mpaka sasa wanafunzi wanapata chakula cha mchana kwa asilimia 100% katika shule za msingi na Sekondari.


Kauli mbiu ya maadhimisho ya haya ni "Lishe bora kwa vijana Balehe, Chache ya Mafanikio yao"


Kauli hii imepewa kipaumbele kwa Vijana kuelimishwa kuwa  lishe bora husaidia kujenga mwili, kulinda mwili pia husaidia kumuandaa kijana kuwa mzazi bora kwa kuimarisha mifumo ya uzazi.


Naye afisa Lishe Wilaya ya Rungwe Bi.Halima Kametha ameongeza kuwa Lishe bora hutunza mwili wa kijana na kumfanya achelewe kuzeeka, hivyo kuongeza  muda wa kufanya kazi(Productivity time) na kuongeza pato la taifa kwa kupunguza wategemezi ( Dependence Population)

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa