Kamati ya siasa wilaya ya Rungwe leo mapema imetembelea miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya wilaya ya Rungwe ambapo baada ya kuridhika na shughuli iliyofanyika , Imeishukuru serikali kwa kuitekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa vitendo huku miradi kadhaa ikikamilika kwa wakati na hivyo kutoa fursa ya kutoa huduma stahiki kwa wananchi
Miradi iliyotembelewa ni pamoja na Ujenzi na ukarabati katika shule ya sekondari wavulana Rungwe, Ujenzi wa jengo la mama na mtoto Hospitali ya wilaya Tukuyu -Makandana , na Kikundi cha uundaji wa viatu Bulyaga "BAM".
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa