KINYALA SEKONDARI-MALIKA
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imeboresha miundombinu ya kusomea na kujifunzia katika shule ya sekondari Kinyala iliyopo takribani km 10 kutoka Kiwira barabara ya Kiwira- Malika (Kinyala)
Hatua hii imesaidia upatikanaji wa elimu sambamba na uchavushaji wa maarifa na ujuzi kwa wanafunzi.
Aidha Serikali inaendelea kukamilisha ukumbi kwa ajili ya chakula na mitihani kwa wanafunzi wa shule hii.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa