SERIKALI YA AWAMU YA SITA FURAHA TELE.
Kufuatia Serikali kujenga ukumbi wa mitihani katika shule ya Msingi Goye, Matunda yameanza kuonekana baada ya wanafunzi kutoka katika shule za msingi kata ya Ndanto kuanza kutumia ulkumbi huu kwa ajili ya mitihani ya pamoja ( joint Examination)
Serikali imetoa jumla ya shilingi million 40 kwa ajili ya ukamilishaji wa ukumbi huu.
Hii ndiyo shule ya pekee kuwa na ukumbi wa kisaa baada ya Igogwe shule ya msingi iliyopo kata ya kinyala.
Pamoja na shughuli za kitaluma pia ukumbi hutumika kwa ajili ya chakula cha mchana kwa wanafunzi, mikutano ya wazazi, walimu na wanafunzi na sherehe mbalimbali za shule.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa