SERIKALI INAVYOJIBU KERO ZA WATU WAKE.
Serikali ya awamu ya sita inaendelea na ujenzi wa Barabara ya Tukuyu- Busokelo kwa kiwango Cha LAMI ambapo awamu hii kipande Cha Tukuyu- Ntandabala(Pakati) kinaendelea kujengwa huku pia Mbambo- Njiapanda ya Itete ukamilishaji ukiendelea.
Mpango ni kukamilisha Barabara yote hali itakayoharakisha Maendeleo katika ukanda huu kwa kusafirisha watu na Mali zao sambamba na kufungua fursa za uwekezaji.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa