• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

"POLICE DAY" YAFANYIKA RUNGWE

Imewekwa Tarehe: January 20th, 2023

-ASANTE JESHI LA POLISI RUNGWE-


Ikiwa  ni siku maalumu ya Jeshi la POLISI Leo tarehe 20.01.2023 (Police day) Jeshi hilo katika Wilaya ya Rungwe limeshiriki shughuli mbalimbali za kijamii.


Katika Hospitali ya Wilaya  Tukuyu (Makandana) Jeshi limeshiriki katika shughuli za Usafi wa mazingira ikiwa ni pamoja na kutoa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa.


Aidha limetoa zawadi kadhaa katika shule ya Msingi  Mchanganyiko -Katumba II, Shule ambayo huduma ya elimu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu.


Akiongoza zoezi hilo Mkuu wa Polisi Wilaya ya Rungwe SSP Philipo Mhako ameagiza wakazi wa Wilaya ya Rungwe kushiriki zoezi la ulinzi na usalama katika maeneo yao huku akiangazia Vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa.


Amesema Vijana wengi licha ya kutegemewa na taifa lao katika uzalishaji Mali kinyume chake wamekuwa wakijihusisha na uhalifu sambamba na jinai mbalimbali hali inayorudisha Maendeleo nchini.


Pamoja na hayo amewakumbusha wazazi kuwalinda watoto  katika vihatarishi mbalimbali na hasa katika msimu huu mvua inaendelea kunyesha ambapo mito mingi inatiririsha maji na hivyo kuhatarisha usalama wao.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 14, 2022
  • KUITWA KAZINI NAFASI YA KAZI KATIBU MAHSUSI III March 01, 2023
  • FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO ZILIZOPOKELEWA KWA KIPINDI CHA MWEZI MARCH HADI JUNE, 2022 July 04, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI May 25, 2022
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • ZAHANATI YA SUMA YASOMA MAPATO NA MATUMIZI

    March 22, 2023
  • RUNGWE YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO

    March 18, 2023
  • ASANTE MAMA YETU

    March 15, 2023
  • RUNGWE CHAGUO LAKO HAKIKA

    March 14, 2023
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa