Pamoja na juhudi za kutunza vyanzo vya maji zinazoendelea nchini kote Msimu huu, Inatajwa pia kuwa shughuli za kibinadamu zinakwamisha zoezi hili kwani watu wamekuwa wakichafua MAJI na kuhatarisha afya ikiwemo kuchochea magonjwa ya mlipuko na kuangamiza viumbe hai na mazalia yake.
Viongozi wanaozunguka vyanzo hivi wanaarifiwa kuhakikisha wanavitunza na kutumia Kwa matumizi chanya Kwa kizazi hiki na kijacho.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa