Kijiji Cha Igembe kilichopo katika kata ya Masoko tarafa ya Pakati kipo mbioni kukamilisha ujenzi wa zahanati ya Kijiji hicho ikiwa ni juhudi ya kuwapunguzia wakazi wake kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya matibabu katika zahanati ya Masoko, Ngaseke na kituo cha afya Kalebela.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa