• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

NCHIMBI AHAMASISHA UZALENDO, UMOJA NA MSHIKAMO

Imewekwa Tarehe: April 18th, 2024

NCHIMBI AHAMASISHA UZALENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO

Pichani ni Baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali  kutoka Halmashauri ya Rungwe na Busokelo   waliohudhuria Mkutano  wa hadhara katika uwanja wa Ruanda Nzovwe  jijini Mbeya leo alasiri tarehe 17.4.2024  huku  ukivutia  maelfu ya watu.


Katibu Mkuu  wa Chama cha Mapinduzi (CCM) taifa Mhe. Dkt John Nchimbi ndiye alikuwa Mgeni Rasmi huku akisindikizwa na viongozi mbalimbali kutoka makao makuu ya chama hiki akiwemo katibu wa Uenezi Itikadi na Mafunzo Ndugu CPA Amos Makala.


Dkt Nchimbi amehamasisha wakazi wa mkoa wa Mbeya kufanya kazi kwa bidii huku wakijiepusha na vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa mali za umma ili kuliletea taifa hili maendeleo.


Akitolea mfano wa kiongozi wa Kihabeshi kutoka nchini Ethiopia; Dkt Nchimbi amekemea baadhi ya viongozi wanaoshindwa kutenganisha mali binafsi na zile za umma huku wakiliingiza taifa hili katika umasikini huku wakijinufaisha wao wenyewe.


Aidha amewaomba kuendelea kuwa wazalendo  huku wakijiimarisha katika kusaidia jamii na taifa kwa ujumla.


" Watanzania walio wengi kwa sasa wana ukosefu wa kinga za uzalendo (UKUZA) hatua inayopelekea serikali kushindwa kutimiza malengo yake endelevu kwa wananchi" ameongeza Dkt Nchimbi.


Katika hatua nyingine amekemea migongano ya kisiasa huku akihamasisha ushirikiano kati ya vyama vya siasa na kujiepusha na siasa za chuki ambapo hatua hiyo inawanyima wananchi kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo na uzalishaji mali.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa