Maonesho ya nanenane yanaendelea katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Julius Chalya na Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya ya Rungwe bibi Loema Peter wametembelea banda la halmashauri ya wilaya ya Rungwe ambapo mambo mengi ya kuvutia wameyaona ikiwemo:
1. vipando mbalimbali vya mimea jamii ya mbogamboga, mahindi, viazi, karoti, chai, pareto na parachichi
.2. samani za ndani zinazoundwa kwa mianzi.
3. Maziwa lishe
.4. Uhamilishaji wa ng'ombe kwa njia ya kisasa( artificial insermination)
5. vivutio vya utali
5. vikundi vya wajasiriamali.
6. mbegu za kisasa za kweme, maboga, ndizi, viazi, mihogo
7. Ufugaji wa samaki
8. Na mengine mengi karibu sana.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa