Mwongozo wa uwekezaji katika Mkoa wa Mbeya umezinduliwa Leo tarehe 03.08.2021 na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako jijini Mbeya ambapo umeitaja Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kuwa kitovu pekee cha uwekezaji katika:
1. Ufugaji wa ng'ombe na usindikaji wa maziwa.
2. Kilimo cha Chai, ndizi, nanasi, parachichi , viazi
mviringo, kakao, mihogo,
Mawese na viwanda vya usindikaji.
3.Uwekezaji katika vivutio vya Utalii
4 Uzalishaji maji ya chupa.
5.Uwekezaji katika sekta ya usafirishaji.
6.Uwekezaji katika nyuki na mazao yake
7.Uwekezaji katika Elimu
8.Uwekezaji katika viwanja vya michezo, Hotel
na maeneo mengine ya starehe.
9. Uwekezaji wa ujenzi nyumba za kutunzia mali
mbichi (coldrooms)
10. Ujenzi wa viwanda vya chaki
11.Ujenzi wa vituo vya kutolea huduma za afya.
12. Uwekezaji katika kilimo cha Umwagiliaj
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa