Mwenge wa Uhuru umezindua Mradi wa maji Mpandapanda uliopo Kijiji Cha Ilolo kata ya Kiwira huku wananchi wakiagizwa kuutunza vizuri sambamba na kulipa ada ya kila mwezi ili kuujengea uwezo wa kuwa endelevu na hivyo kukinufaisha kizazi hiki na kijacho.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa