• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

MLIMA RUNGWE NI UTAJIRI WAKO

Imewekwa Tarehe: January 22nd, 2024

KIMSINGI KUISHI RUNGWE NI FURAHA TELE.


Mlima Rungwe ni fahari kwa wakazi wa mikoa ya nyanda za juu kusini.


Mlima Rungwe hubeba jina la Wilaya ya Rungwe ambayo makao makuu yake yapo Tukuyu na ndiyo wilaya kongwe zaidi katika mikoa ya nyanda za juu kusini.


Mlima Rungwe huchangia asilimia 49% ya maji yote katika ziwa Nyasa.


Mito mikubwa ambayo chanzo chake ni Mlima Rungwe ni pamoja na Kiwira, Lufiliyo na Mbaka. Mito  yote hii hutiririsha maji Kuelekea ziwa Nyasa.


Huu ndiyo mlima mrefu zaidi kwa mikoa ya nyanda za juu kusini.


Mlima Rungwe una urefu wa mita 2981 kutoka usawa wa bahari.


Maji yanayotiririka Kuelekea ziwa Nyasa ndiyo huchangia uzalishaji wa chakula hasa kilimo cha Mpunga katika wilaya ya Kyela.


Katika hatua hiyo utalii wa ziwa Nyasa huchangiwa sehemu kubwa na uwepo wa mlima Mlima Rungwe.


Ndiyo maana wakati wa majira ya joto kali  enzi za Ukoloni, Watawala , Wamishionari pamoja na familia zao (Wanaoishi Mwambao mwa ziwa Nyasa ; Kyela na Ludewa) walitumia muda wa Mapumziko kupanda Mlima Rungwe na Kupiga kambi katika eneo la Isongole fishing camp lililopo katika Mzizi  (Chini) ya  Mlima Rungwe.


Haya ni maeneo yenye baridi ya wastani, mvuto wa kipekee na msitu mnene.


Wastani wa watalii 2000 hupanda mlima Rungwe kila Mwaka.


Baadhi ya nchi kama Malawi na Zambia zimewahi kufanya ziara na kujifunza namna ambavyo Serikali kwa kushirikiana na Wananchi wameweza kutunza na kuhifadhi msitu wa Mlima Rungwe.


Mlima Rungwe husimamiwa na Wakala wa Misitu Tanzania Mount Rungwe Nature Reserve  na ofisi zake zipo Ndyonga Tukuyu Mjini barabara ya Tukuyu -Busokelo.


Zipo fursa mbalimbali za Uwekezaji kando ya Mlima Rungwe. Hizi ni pamoja na kambi za watalii, Hoteli, Kilimo, Viwanda vya maji, na uchakataji wa bidhaa za shambani.


Tayari Hoteli na kambi zimeanza kujengwa(Newland, Kalongo farm, Mbutusyo, Landmark n.k),  Mashamba makubwa ya chai na parachichi, Viwanda vya maji (Tukuyu spring water na Rungwe water ) nakadhalika.


Hujachelewa Karibu Rungwe!!!!!


Karibu Rungwe wekeza nasi kupitia www.rungwedc.go.tz


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa