Zoezi la Sensa ya Watu na makazi limeanza vizuri leo jumanne tarehe 23.8.2022 katika kata zote 29 huku Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Dkt. Vicent Anney akihesabiwa katika makazi yake na kutoa taarifa zitakazosaidia taifa la Tanzania kupanga mipango yake endelevu kwa watu wake.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa