Katika Juhidi za Kuimarisha afya ya Mwili, Utimamu na Utayari leo mapema Jumamosi Asubuhi tarehe 5.10.2025 Vikosi mbalimbali vimefanya mazoezi ya pamoja ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha usalama wa watu na mali zao sambamba na Uzalendo kwa Taifa letu la Tanzania. @jaffarhaniu @jeshi_la_polisi_tanzania @magerezatanzania @uhamiajitz @zimamototanzania @renatus_blas
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa