Halmashauri ya wilaya Rungwe inatarajia kujenga jengo la kitega uchumi karibu na stendi ya Mabasi Tukuyu Jengo hilo litakuwa na ukubwa wa ghorofa mbili. Jengo hilo litakuwa na maduka kadhaa, ofisi pamoja na Ukumbi.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa