KARIBU RUNGWE MBEYA: Hapa ni Makete kata ya Kisondela, Kanisa hili ni kongwe na limebeba historia ya wamissionari kutoa huduma ya kiroho Kwa waathirika wa ugonjwa wa UKOMA. Wagonjwa hao ambapo Kwa sasa hawapo na sehemu ya majengo haya kutumiwa na serikali pia watalii wengi hufika kuona na kujifunzia amali ( values) za kale jinsi zinavyosaidia kuhifadhi historia ya ugonjwa wa UKOMA nchini.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa