Kamati ya siasa Mkoa wa Mbeya imeupa heko mradi wa MAJI Masoko group uliopo Kata ya Itagata Kwa kuendelea kuzinufaisha Kata tano ambazo katika ubora wa hali ya juu zinaendelea kupata maji safi na salama.
Chanzo hiki kilichojegwa katika mto Mbaka kinatiririsha MAJI Kwa njia ya mserereko na kuzinufaisha Kata za Itagata, Masoko, Kisiba, Msasani, na Bujela na mradi huu pia utatarajiwa kuongezewa uwezo zaidi na kuwafikia wakazi wa Kata nyingine na hivyo kuondokana na magonjwa yanayotokana na matumizi ya MAJI yasiyo safi na salama.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa