Soko/Gulio la ndizi pamoja na bidhaa zingine katika eneo la Mwambenja mkabala na kituo Cha mafuta Lake oil limeanza rasmi Leo tarehe 22.02.2023.
Soko hili lililopo kata ya Ibighi linatarajiwa kufanyika kila siku ya Jumatano ya wiki na litasaidia upatikanaji wa bidhaa za kilimo na viwandani kwa ukaribu zaidi.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa