Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Rungwe bibi Husna Toni amewakumbusha wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe kuendelea kujiandaa na zoezi la uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi oktoba mwaka huu, huku akiwaomba kutunza kadi za kupigia kura ikiwa ni pamoja na kufanikisha zoezi hilo kwa amani na utulivu kwa nia ya kupata viongozi bora watakao tuvusha katika kipindi kingine cha miaka mitano ijayo.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa