Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Rungwe Bi. Loema Peter akimpigia simu Meneja uhusiano wa kiwanda cha TOL GAS bwana Sarat Mwambuluma akimuomba kutoa msaada wa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Itagata ikiwa ni sehemu ya utoaji wa msaada Kwa Jamii (Corporate social responsibility -CSR) waliojiwekea kila mwaka Kwa Jamii inayozunguka kiwanda hicho.
Hata hivyo ameuomba uongozi wa kata hiyo kuendelea kukusanya michango Kwa wananchi ikiwa ni pamoja nguvu kazi ili kuharakisha ujenzi wa vyumba hivyo na kuwapa nafasi wanafunzi wa kidato cha kwanza kuanza masomo yao mapema mwakani.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa