• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

DC HANIU AKABIDHI PIKIPIKI 61 KWA MAAFISA KILIMO.

Imewekwa Tarehe: March 7th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mheshimiwa Jaffar Haniu amekabidhi leo jumla ya pikipiki 61 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha na kuongeza tija katika sekta ya kilimo.


Akikabidhi pikipiki hizo, Mhe Haniu amewagiza watalamu hao wa kilimo kwenda na kushiriki ipasavyo katika usimamizi na  uzalishaji wa mazao ya kilimo ikiwa ni mbinu bora kuongeza kipato cha kaya na lishe kwa jamii.


Aidha ameagiza pikipiki hizo kutumika kwa malengo mahususi yaliyokusudiwa ikiwa ni nyenzo sahihi ya kuwafikia wakulima kuanzia ngazi  ya shina, Kitongoji hadi kijiji.


"Tahadhari msiende kutumia pikipiki hizi kama bodaboda mtakuwa mnakiuka malengo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha wakulima wanapata ushauri wa kitaalamu na kwa wakati" Ameongeza Mhe.Haniu.


Akishukuru kwa niaba ya maafisa ugani, Jenister Munisi  mtaalamu wa kilimo kutoka kata ya Kinyala amemshukuru Mhe. Rais  kwa maamuzi thabiti aliyoyafanya na kuwa wataenda kutekeleza kwa vitendo zoezi la uzalishaji wa mazao ya  chakula biashara kwa ngazi ya kaya na jamii kwa ujumla.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 14, 2022
  • KUITWA KAZINI NAFASI YA KAZI KATIBU MAHSUSI III March 01, 2023
  • FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO ZILIZOPOKELEWA KWA KIPINDI CHA MWEZI MARCH HADI JUNE, 2022 July 04, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI May 25, 2022
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • ZAHANATI YA SUMA YASOMA MAPATO NA MATUMIZI

    March 22, 2023
  • RUNGWE YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO

    March 18, 2023
  • ASANTE MAMA YETU

    March 15, 2023
  • RUNGWE CHAGUO LAKO HAKIKA

    March 14, 2023
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa