• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

DC HANIU AFANYA ZIARA ZIWA NGOSI

Imewekwa Tarehe: October 14th, 2023

Ikiwa leo ni Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Muasisi wa Taifa hili Hayati Julius Kambarage Nyerere; Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe.Jaffar Haniu ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama kujionea shughuli mbalimbali zinavyotekelezwa katika Ziwa Ngosi.


Ziwa Ngosi linalosimamiwa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) chini ya Hifadhi Asilia ya Mlima Rungwe  lina kipenyo cha  km 01 na hivyo kuwa moja ya maziwa makubwa Ya asili ya Kivolkano Tanzania na la pili kwa Ukubwa Afrika baada ya lile lililopo nchini Ethiopia.

Mhe Haniu amehamasisha Wakazi wa Rungwe na Tanzania kwa ujumla kutembelea vivutio vilivyopo ikiwa ni hatua ya kufanya matembezi sambamba na kuongeza pato la taifa.


Amesema Wilaya ya Rungwe ina vivutio vingi hivyo kila mmoja anatakiwa kivihifadhi  pamoja   na kutembelea  mara kwa mara ili kujifunza, kuongeza maarifa na hivyo kupata uelewa ambao utakuwa muhimu kwa kizazi hiki na kijacho.


Pamoja na Ziwa Ngosi pia amepanda mlima Rungwe ikiwa ni hatua ya kuhamasisha utalii wa ndani .


Mlima Rungwe una urefu wa Mita 2981 msl  na ndio mlima wa tatu kwa urefu  Tanzania baada ya Kilimanjaro na Meru na wastani wa watalii 2000 hupanda kila mwaka na hali ya wwe hii imeongeza pato la taifa pamoja kuchangamsha uchumi wa wakazi wanaouzunguka mlima Rungwe.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa