• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

CRDB YA WASHIKA MKONO WANAWAKE NA VIJANA

Imewekwa Tarehe: July 10th, 2023

Benki ya CRDB  CRDB Bank Plc tawi la Rungwe  imewakutanisha Maelfu ya  Wanawake Wajasiriamali katika Wilaya ya Rungwe lengo kubwa likiwa ni kuwajengea uwezo kiuchumi na kuwanufaisha kwa mitaji kupitia dirisha la Imbeju chini ya CRDB Foundation.


Meneja wa tawi hili Bi.Devotha Kalinga ameeleza kuwa Benki  imeendelea kusikiliza wateja ambapo katika hatua hii Wanawake na Vijana Wajasiriamali Wabunifu watapewa mitaji wezeshi ili kupanua wigo wa uchumi wao kupitia Vikundi.


Ameeleza kuwa Mwanamke Mjasiriamali atafunguliwa akaunti maalumu ambayo haitakuwa na gharama ya uendeshaji na makazi ya mwezi.


Aidha benki kupitia CRDB Foundation itatoa mtaji wezeshi wenye thamani ya shilingi Million 200,000 Mpaka 30,000,000 kwa vijana na Wanawake bila dhamana  huku  Wanawake pekee yao Wakinufaika   na Mtaji wa shilingi  200,000/= Mpaka 3000,000/=.  Zote  hizi ni juhudi za  kuwajengea uwezo  kiuchumi.


Pamoja na hayo Bi. Kalinga ameongeza kuwa benki itawanufaisha Wanawake na huduma mbalimbali kama kuweka na kutoa fedha, ATM Card, Simbanking (Kupitia simu ya Mkononi) ambapo mteja ataweza kulipia huduma kama ada, miamala mbalimbali, maji, umeme, nakadhalika.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa