Thursday 19th, September 2024
@Kiwira
Wakazi wa kata ya Kiwira wamejitokeza kwa Wingi kumsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipo fanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya wilaya ya Rungwe na Busokelo huku akieleza kuwa serikali imeendelea kuboresha huduma za kijamii ikiwepo kituo cha Afya Kiwira ambacho kimeletewa zaidi ya shilingi millioni 500 kwa ajili ya ujenzi wake.
Kituo hiki kitakuwa na jengo la mama na mtoto, jengo la wagonjwa wa nje, Kufulia na maabara.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa