uchimbaji na ujenzi wa msingi umeanza tarehe 04.11.2021
Ujenzi wa msingi umeanza tarehe 04.11.2021
Hatua ya Uwekaji jamvi imeanza tarehe 07.11.2021
Hatua ya upandishaji wa ukuta imeanza tarehe 9.11.2021
Upandishaji wa ukuta umeendelea kuanzia tarehe 9.11.2021
Hatua ya upigaji kenchi na upauaji imeanza tarehe 19.11.2021
Hatua ya Upauaji ikiendelea Ndembela one sekondari
Hatua ya upauaji ikiendelea Bulyaga Sekondari
UEZEKAJI WA BATI UMEANZA TAREHE 27.11.2021 SHULE YA SEKONDARI LUBWE
UEZEKAJI WA BATI KATIKA SHULE YA SEKONDARI WASICHANA KAYUKI UMEANZA TAREHE 27.11.2021
Matengenezo ya viti na meza ukuiendelea kwa ajili ya vyumba vya madarasa
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa