Friday 26th, April 2024
@Rungwe
Rungwe Mission kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Idara ya Mali asili na Utalii na wadau wa maendeleo AFRICAN WILD LIFE FOUNDATION wamefanya maonesho hayo katika viwanja vilivyopo katika ofisi za Rungwe Mission tarehe 9/11/2018, mgeni rasmi katika shughuli hizo alikuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Rungwe Bwana. Mnkondo Bendera ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Rungwe.
Picha za maonesho ya bidhaa za utalii wa utamaduni na matukio mbalimbali.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa