Wednesday 8th, May 2024
@Ukumbi wa Halmashauri
Mafunzo ya uandaaji wa bajeti ya Kamati ya Lishe yamefanyika tarehe 13/08/2018 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.
Mgeni rasmi katika mafunzo hayo ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe.Julius Chalya na wajumbe waliohudhuria ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mh.Ezekiel Mwakota, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bi.Loema I. Peter. Pia katika mafunzo hayo ni wataalamu ambao ni wajumbe wa Kamati ya Lishe (W).
Mafunzo hayo yameandaliwa na kuendeshwa na wataalamu toka TAMISEMI kwa ufadhili wa UNICEF.
picha:Wajumbe wakiwa katika mafunzo ya uandaaji wa bajeti ya Kamati ya Lishe(W)
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa