• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

WANANCHI SIMAMIENI MIRADI KATIKA MAENEO YENU

Imewekwa Tarehe: November 21st, 2023

WANANCHI SIMAMIENI MIRADI KATIKA MAENEO YENU

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Bwana Renatus Mchau  amefanya ziara katika miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa zahanati ya Matwebe, Ujenzi wa bweni katika shule ya sekondari Masukulu, upanuzi wa zahanati ya Masoko, Kituo cha afya Iponjola , Rungwe sekondari pamoja na ujenzi wa shule Mpya Mchepuo wa Kingereza ILENGE kata ya Kyimo.


Katika ziara hiyo Bwana Mchau ameagiza mafundi wote wanaotekeleza miradi ya maendeleo kuzingatia weledi , Maarifa pamoja na  Ujuzi ili ikamilike katika ubora na kwa wakati.


Aidha ameagiza mafundi wote walioshindwa kuzingatia taratibu za ujenzi kubomoa kwa gharama zao na hivyo kuepukana  na tatizo la kuingiza serikali  katika gharama zisizostahiki.

Amesema serikali inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan inatoa fedha nyingi kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo fedha ambazo wananchi wangechangishana mifukoni.


Kwa hatua hiyo amewakumbusha wananchi kusimamia miradi yao ipasavyo badala ya kuwaachia mafundi wakitekeleza bila usimamizi.


Aidha amesisitiza viongozi katika ngazi ya vijiji, kata, elimu na afya kuhakikisha wanasoma mapato na matumizi kwa wananchi dhidi ya Miradi ya Maendeleo ili kujenga Mazingira mazuri ya  uwazi na Uwajibikaji.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa