• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

UJENZI WA BARABARA KYOSA KUKAMILIKA

Imewekwa Tarehe: July 4th, 2023

SERIKALI YA AWAMU YA SITA  RAHA TELE


Serikali ya awamu ya sita inaendelea na utekelezaji wa ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha Changarawe kutoka Ibililo mpaka Kyosa kata ya Lupepo yenye umbali wa Km 10.


Barabara hiyo inayosimamia na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA) awali inatarajiwa kujengwa umbali wa KM 04.


Mapema mwishoni mwa mwezi uliopita kamati ya siasa wilaya ya Rungwe inayoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndugu Mekson Mwakipunga ilizindua barabara hiyo na kuagiza ikamilike mapema kabla msimu wa mvua haujaanza.


Barabara hiyo ni muhimu na kiungo cha usafirishaji wa mazao ya kahawa, ndizi, mbao, Parachichi, maziwa na iliki kutoka kwa wakazi waishio katika miinuko ya kijiji cha Kyosa na vitongoji vyake .


Kwa sasa mara barabara hii itakapokamilika itarahisisha shughuli za uchukuzi, na kusaidia wagonjwa kuzifikia huduma za afya kwa urahisi zaidi.


Wakazi wa kijiji hiki wamefurahi barabara hii kuwafikia katika maeneo yao.


Alinanuswe  Mwakalasya ameeleza kuwa kabla ya kujengwa walilazimika kubeba wagonjwa kwa kutumia machela kutoka eneo moja hadi lingine kufuata huduma ya afya.


Musa Kajoka anasonga mbele zaidi na kueleza kuwa kwa muda  mrefu walanguzi wamekuwa wakishusha bei ya mazao ya shambani kwa kisingizio cha gharama ya usafirishaji lakini barabara hii inaenda kuondoa hiyo changamoto na hatimaye bei kupanda zaidi.

Tarura Tanzania

Ikulu Mawasiliano

Msemaji Mkuu wa Serikali

TANROADS

Ofisi ya Rais - Tamisemi

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa