• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

TUNAKUSHUKURU SANA MAMA

Imewekwa Tarehe: July 9th, 2022

Halmashauri ya wilaya ya Rungwe ipo mbioni kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya katika kata ya Iponjola ambacho kinatarajia kugharimu kiasi cha shilingi MILLION 500 mpaka kumalizika kwakeFedha hizo zimetolewa na Serikali ya awamu ya sita chini Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan  ambapo kwa nchi nzima jumla ya vituo vya afya 70 vinajengwa kwa Ruzuku ya Serikali kuu kwa ghamara ya shilingi Billion 24.6kati ya hivyo vituo 70 vya afya Halmashauri ya Rungwe imenufaika na vituo viwili ambavyo ni Kyimo na Iponjola

Kwa upande wa vituo vya afya vinavyojengwa kwa fedha za tozo ya miamala ya simu Halmashauri ya Rungwe imepata kituo kimoja kilichopo katika kata ya Ndanto kwa gharama ya shilingi Million 500 na nchi nzima jumla ya vituo vya afya 234 vinajengwa kwa gharama ya shilingi Billion 117. kituo cha Ndato kipo katika hatua nzuri na majengo ya awali yanaanza kutoa huduma hivi karibuni baada ya wahudumu walipangwa kuripoti.

 Ujenzi wa majengo mengine unaendelea.

Kwa kutumia mapato ya ndani jumla ya vituo 103 vinajengwa nchi nzima kwa gharama ya shilingi Billion51.5 na Halmashauri ya Rungwe inajenga kituo hicho katika kata ya Kinyala kwa gharama ya zaidi ya shilingi Million 201.

Kwa upande wa ukamilishaji jumla ya maboma 763 yanakamilishwa ambapo zahanati 564 kwa kutumia ruzuku ya serikali yatakamilishwa kwa gharama ya shilingi Billion 28.2 nchi nzima, Mapato ya ndani zahanati 119 Billion 9.9

Majengo ya wagonjwa wa dharula 80 yanajengwa nchi nzima kwa shilingi Billion 24 na Hospitali ya Tukuyu imenufaika kwa mkoa mzima wa Mbeya kwa gharama ya Shillingi Million 300.

Kwa upande wa nyuma za watumishi jumla ya nyumba  za watumishi wa afya 150 zinajegwa nchi nzima kwa gharama ya shilingi Billion 13.5 na Rungwe imenufaika kwa kituo cha afya Kyimo na zahanati ya Kyobo kata ya Iluti.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa