• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

RUNGWE KUTOA CHANJO YA POLIO NYUMBA KWA NYUMBA

Imewekwa Tarehe: September 13th, 2023

CHANJO YA POLIO NYUMBA  KWA NYUMBA


Kikao cha Kamati ya afya ya Msingi  kimeketi leo tarehe Maudhui yakilenga katika kampeni dhidi ya ugonjwa wa POLIO.


Kikao kimeongozwa na Katibu tawala Wilaya ya Rungwe Bwana Ally Kiumwa ambapo amesisitiza wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini, elimu, wazazi, vyombo vya habari, pamoja taasisi anuai kuhakikisha zinajitokeza kifua mbele kutoa elimu, kuibua na kuwapeleka watoto kupata chanjo.


Ugonjwa wa POLIO ambao kwa mara ya Mwisho Tanzania ilipata Mgonjwa wake mwaka 1996 hivi karibuni katika hatua nyingine Mgonjwa amegundulika Sumbawanga Mkoani Rukwa


Hatua hii mefanya Serikali kufanya kampeni na chanjo katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Katavi,  Kigoma na Kagera.


Walengwa ni watoto walio chini ya miaka 8 watakaopatikana  katika  shule za Msingi, Nyumbani, Vituo vya kulelea watoto, na  shule za awali,


Zoezi litadumu kwa siku nne kuanzia tarehe 21-24 septemba 2023


POLIO NINI?


POLIO ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya polio


Ugonjwa huu humsababishia Mgonjwa kupooza  viungo vya mwili na hatimaye kifo


Virusi vinaweza kuingia kwa njia ya mdomo kwa kunywa maji au chakula ambacho kimechafuliwa na kinyesi kutoka kwa mtu aliyeambukizwa na virusi hivyo


POLIO haina tiba lakini inaweza kuzuiliwa kwa kupata chanjo ya polio ya matone au sindano (IPV).


Ikumbukwe kuwa  chanjo ya Polio haina madhara yoyote. Mtoto anaweza kupata chanjo ya polio  mara nne au zaidi ili kuimarisha kinga dhidi ya ugonjwa huu.


Mganga Mkuu wilaya ya Rungwe Dkt.Diocles Ngaiza ameeleza kuwa  Chanjo pamoja na vifaa vyake vimesambazwa katika kata zote 29 zinazounda Halmashauri ya wilaya ya Rungwe ambapo vijiji vyote 99 vitafikiwa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa