• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

KARIBU RUNGWE UWEKEZE SEKTA YA UTALII

Imewekwa Tarehe: October 18th, 2022

Ukifika Mkoani Mbeya umefika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe  takribani km 70 kutoka katikati ya Jiji la Mbeya.


Rungwe Kuna vivutio vingi yakiwemo Maporomoko ya maji zaidi ya kumi.


Haya katika picha  ni maporomoko ya Isabula yaliyopo katika mto Mwalisi mpakani mwa kata ya Matwebe na   Kisiba.


Kando ya Maporomoko haya Kuna daraja lililojengwa na Serikali kwa gharama ya zaidi ya shilingi Billion 1.6 na kuunganisha kata ya Kisiba na Matwebe.


Watalii wengi hufika hapa na kujionea uoto wa asili unaozunguka mto huu sambamba na kuogelea katika maji huku wakijionea kimo kirefu Cha maji (Dumping level) Cha mwanguko wa maji.


Eneo hili linafaa kwa uwekezaji wa  hotel na Makazi ya muda ((campsite) kwa ajili ya kupokea na kuwakaza wageni wanaotiririka takribani mwaka mzima.


Eneo hufikika kupitia Barabara ya Landan - Masukulu, Concil- Masukulu-Kisiba na Kyela-Ipande-Matwebe-Kisiba.


Kando ya mto huu Kuna vivutio vingine yakiwemo Maporomoko ya Mwandambo na Busilya.


Vivutio vingine vilivyopo katika ukanda huu ni Msikiti wa kale zaidi pamoja na Ngome ya Wajerumani iliyopo Kisiba, Ziwa Kisiba , Mti Katembo  na maji ya moto yaliyopo kando ya mto Mbaka.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa