• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MRADI WA RUNGWE SEKONDARI

Imewekwa Tarehe: March 22nd, 2022

Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya ukaguzi wa Serikali za Mitaa Mhe. Boniface Butondo (MB) ameiongoza leo tarehe 22.03.2022  kamati yake  kukagua mradi wa ujenzi na ukarabati wa Shule ya Wavulana Rungwe.

Katika ukaguzi huo kamati hiyo imepongeza  na kuridhishwa na hatua nzuri iliyofikiwa katika mradi huo na kuwa sasa wanafunzi watapata fursa nzuri ya kusoma kwa bidii na  na kupata mafanikio makubwa.

Ukarabati wa shule hii kongwe nchini (1961) ulianza mapema mwaka  2020 na mpaka sasa umekalika na kuanza kutumika.

Mradi huu umegharimu kiasi cha shilingi Million 752 ambapo imejumuisha ujenzi  na ukarabati wa vyumba vya madarasa na mabweni pamoja na jengo la utawala. 

Fedha zimetolewa na Serikali Kuu.

Mbele ya wanafunzi, kamati hiyo imewaagiza wanafunzi kutunza miundombinu ya shule hiyo na kuhakikisha wanailinda ikiwa ni hatua nzuri ya kuhakikisha juhudi zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita  dhidi yao wanazithamini.

Shule ya Sekondari Rungwe hudahili wanafunzi wa kidato cha tano na sita tu kwa tahasusi ya HGL, HKL, HGK, PCM, PCB, CBG, HGE na EGM na ina wanafunzi zaidi ya 400.




























































Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa