• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

DED ATEMBELEA MIRADI YA UJENZI

Imewekwa Tarehe: November 4th, 2021

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe  Bwana Renatus Mchau ametembelea shule ya sekondari Ndanto, Ndembela one na Bujinga na kisha kuzungumza na wafanyakazi wa shule hizo.

Pamoja na mambo mengine amesisitiza ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa  vinavyoendelea katika shule hiyo kukamilika kwa wakati huku wakizingatia taratibu za ujenzi ili vidumu kwa muda mrefu na hivyo kutumiwa na kidato cha kwanza mwakani.

Aidha ameagiza kamati zote zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa Wilayani Rungwe kuendelea kununua vifaa vya ujenzi mapema ili kuepuka changamoto ya kuadimika kufuatia miradi ya aina hii kutekelezwa nchi nzima.

Pamoja na hayo Bwana Mchau ameagiza Wakuu wa shule zote kubandika mpango kazi katika eneo la mradi ili kuwasaidia mafundi kurejea na kujipima spidi ya utekelezaji ambapo miradi yote inatakiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi huu.

Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe inatarajia kutumia shilingi  billion 1.1 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 55 vya madarasa katika shule za sekondari 18 kati ya 42 huku shule ufaulu wa wanafunzi elimu msingi kwa darasa la saba kiwilaya ukifikia asilimia 90.59% ongezeko la asilimia 5% ya ufaulu wa mwaka jana.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa