• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

Baraza la madiwani lapongeza utekelezaji wa miradi

Imewekwa Tarehe: February 19th, 2021

Baraza la madiwani la kawaida limeketi leo katika Ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe ambapo pamoja na mambo mengine waheshimiwa madiwani wamepongeza namna halmashauri inavyosimamia miradi mbalimbali huku wakiumulika mradi wa ujenzi na ukarabati wa Shule ya sekondari wavulana Rungwe, pamoja  na ujenzi wa jengo la mama na mtoto Hospitali ya wilaya TUKUYU- Makandana.

Aidha mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mhe.Mpokigwa Mwankuga amesisitiza kuwa kwa sasa uchangiaji wa chakula cha mchana kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari litakuwa ni suala la lazima kwa kila mzazi kushiriki mchango huo ili kuinua kiwango cha taaluma na kutokomeza utapiamlo na udumavu kwa watoto.

Akimkaribisha Mwenyekiti,  Kaimu Mkurugezi halmashauri ya wilaya ya Rungwe bwana Castor Makeula amehimiza watendaji wa kata katika maeneo yote kuhakikisha wanarejesha makusanyo yote kwa wakati ili kusaidia halmashauri kutekeleza majukumu yake  ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa miradi mbalimbali.

Akimwakilisha Mkuu wa wilaya ya Rungwe, Afisa Tawala wilaya bwana Hamimu Mwandelile ameshukuru halmashauri kwa namna inavyobuni vyanzo mbalimbali vya mapato ili kujijengea uwezo imara wa uchumi huku akiangazia mradi wa uendelezaji wa ufukwe wa ziwa kisiba mradi unaotajwa kuinufaisha halmashauri  pamoja na wakazi  wanaouzunguka.

Akifunga baraza hilo Mhe. Mpogigwa Mwankuga ameomba watendaji pamoja na madiwani kuendelea  kushirikiana kwa lengo la kujenga mshikamano imara wenye kuwaletea maendeleo endelevu wananchi na hivyo kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwa vitendo na matokeo makubwa.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa