· Ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mpango wa mapambano dhidi ya COVID 19 unaendelea katika shule mbalimbali 18 katika Halmashauri ya wilaya ya Rungwe.
Katika shule ya sekondari Bulyaga ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa umefikia katika hatua nzuri ambapo jumla ya shilingi million 40 zinatarajiwa kutumika sambamba na ununuzi wa samani za darasani (viti na meza 100
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa