Kutokea Jijini Arusha kwenye kilele cha Mkutano wa mwaka wa Serikali mtandao Mkoa wa Mbeya kupitia @halmashauri_ya_rungwe__mbeya umefanikiwa kupata tuzo mbili ( Mshindi wa pili Rungwe, Mshindi wa tatu Kyela) katika Halmahauri zinazofuata Sheria, kanuni, miongozo na taratibu za Tehama katika kuwahudumia wananchi.
Haya ni mafanikio makubwa katika uimarishaji wa Utawala bora kwa Wananchi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wakazi wa wilaya ya Rungwe wanapata huduma stahiki na kwa wakati.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa