Katika kuboresha mazingira ya Kusomea na Kujifunzia Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imekarabati maabara ya shule ya sekondari ya Kisiba na hivyo kupanua wigo wa ufaulu wa wanafunzi katika masomo ya sayansi katika shule hiyo.
Zaidi ya shilingi million 30 zimetumika katika ukarabati huo.
Shule hiyo yenye mazingira mazuri ya kujifunzia ipo kando ya ziwa Kisiba na mita chache kutoka Boma la zamani la ukoloni wa Kijerumani kabla ya kuhamia Tukuyu mjini.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa