Bima ya Afya iliyoboreshwa-ICHF ni silaha yangu dhidi ya magonjwa mbalimbali. Ninauhakika wa kupata matibabu wakati wote mahali popote nchini. Naipongeza sana serikali yangu kwa kutuletea huduma hii. Nawashauri wenzangu mjiunge na bima hii kwa shilingi 30,000/= tu wanaufaika 06 mwaka mzima"
====== VUMI MWAILENGE=======
SYUKULA -KATA YA KYIMO
30.03.2022
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa