1.Mzazi/Mlezi amjulishe Mkuu wa shule mwanafunzi anakosoma adhima ya kutaka kumhamisha mwanafunzi.
2.Mkuu wa shule anayosoma Mwanafunzi atatoa namba ya PREM ili apeleke shule anayotaka kuhamia.
3.Mkuu wa shule anayotaka kuhamia mwanafunzi ataingia kwenye mfumo na na Kuhifadhi nafasi hiyo.
4.Mkuu wa shule anayosoma mwanafunzi nae ataingia kwenye mfumo na kumhamisha mwanafunzi.
5. Afisa Elimu wilaya/ Mkoa atathibitisha uhamisho huo na tayari mwanafunzi atakuwa amehama.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa