1.Fika osisi ya Afisa biashara Wilaya na chukua fomu ya maombi ya leseni ya biashara na kuijaza
2.Nenda Ofisi ya Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ili upate Tax Crearance
3. Rudi tena ofisi ya biashara ili uandaliwe leseni ya biashara
4. Gharama ya leseni hutegemea aina ya biashara unayofanya ambapo utapata maelekezo ya madaraja ya leseni hizo kwa ukamilifu.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa