Thursday 19th, September 2024
@MWANKENJA
Shamrashamra ya siku ya Wanawake Duniani katika Ukumbi wa Halmashauri -Mwankenja leo tarehe 7.3.2024. Kwa Matukio na picha Mjongeo (Video) ingia www.rungwedc.go.tz
Mgeni Rasmi alikuwa Katibu Tawala Wilaya ya Rungwe Bwana Ally Said Kiumwa ambapo pamoja na mambo mengine amewakumbusha wazazi kuandika Wosia dhidi ya Mali wanazomiliki huku wakiwakumbuka wanawake katika mgao wa mali hizo huku wakiepuka vitendo vya unyanyasaji vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wanawake kila siku.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa