Monday 15th, September 2025
@MKWAKWANI
Baadhi ya Wachezaji wa Mbio wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuvishwa medali leo asubuhi tarehe 29.8.2025 katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kufuatia kushinda mbio mbalimbali
*MATOKEO YA RIADHA SHIMISEMITA TANGA 2025*
1. Mita 800 FINAL
*Wanawake nafasi ya 4* *&5 = 05 points.*
*Wanaume nafasi ya 3 (medal)*
2. 1500m final.
*wanawake nafasi ya 5 point 2.*
*Wanaume nafasi 1 (Medal)*
3.Relay m.100 x 4
*wanawake mshindi wa 3 (4 medals)*
4.MITA 100 WANAWAKE
*Nafasi ya kwanza (Medal)*
5. TUFE
*WANAWAKE Nafasi ya 01 ( Medal)*
6. MITA 400 FINAL
*Wanawake mshindi wa 2 (medal)*
8. MITA 200 FINAL
*Wanawake mshindi wa 01 (Medal)*
09. MKUKI
WANAWAKE
*Mshindi wa 2 ( Medal)*
10. KISAHANI
*Wanawake mshindi wa 2 (Medal).*
*JUMLA YA MEDALS NI = 12*
*DHAHABU( GOLD) = 04*
*FEDHA( SILVER) = 03*
*SHABA( BRONZE)= 05*
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa