• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

MADAKTARI BINGWA

Friday 16th, May 2025
@MAKANDANA

DC HANIU ASHIRIKI ZOEZI LA UPIMAJI AFYA MAKANDANA

Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe Jaffar Haniu ameshiriki zoezi la upimaji wa afya katika Hospitali ya wilaya Tukuyu Makandana.


Mhe.Haniu amefanya hivyo ikiwa ni sehemu ya Uhamasishaji wa wakazi wa Wilaya ya Rungwe  kupima afya zao kufuatia uwepo wa Madaktari Bingwa waliopo katika hospitali hii.


 Wataalamu hawa wa afya maarufu kama Madaktari  Bingwa wa Mama Samia wameendelea na zoezi hili ambalo litadumu kwa siku tano na limeanza siku ya jumatatu mpaka ijumaa tarehe 17.5.2024


Mhe Haniu amempongeza  Mhe Rais Samia Suluhu Hassan na Wizara ya afya kwa ujumla kwa uamuzi huu mzuri kwani kufanya hivyo imewapunguzia wagonjwa kufuata huduma hii muhimu katika Hosptali ya Taifa Muhimbili na hivyo kutumia gharama kubwa.


Amesema wananchi katika wilaya nzima wanatakiwa kuchangamkia fursa hii adimu kwa  ustawi bora wa maisha ya binadamu.


Kwa upande wa wananchi wameishukuru serikali kwa msaada huu uliotolewa.


Ndimbuni Kaburi Mkazi wa Kyimo ameifurahia huduma hii na kuwa amepata matibabu mazuri ikiwa ni pamoja na upasuaji.


Naye Haruna Asumwisye mkazi wa kata ya Lufingo ameipongeza serikali ya awamu ya sita kwa kuwaleta watalamu hawa huku akiomba siku ziongezwe ili kukidhi hitaji la wagonjwa wengi.


Kwa upande wake Mganga mkuu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Dkt Diocles Ngaiza ametoa pongezi kwa serikali kwani  ujio wa Madaktari Bingwa pi umesaidia kuongeza utalamu kwa wadumu wa afya katika hosptali yake na hivyo kujipatia ujuzi na maarifa mbalimbali ya kutibu wagonjwa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa