• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

Maji

Majukumu ya Idara ya Maji:

  • Kuandaa na kupitia Sera ya Maji pamoja na utekelezaji wa Sera na Mikakatihususan katika masuala ya huduma za maji kwa jamii;
  •  Kuhamasisha maendeleo ya ukuaji wa huduma ya maji kwa jamii kulingana naSera na Mkakati;
  •  Kusimamia utekelezaji wa programu za huduma ya maji kwa jamii;
  •  Kuzijengea uwezo Sekretariati za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaakatika huduma ya maji kwa jamii.

Sehemu ya Msaada wa Huduma za Kiufundi

Kazi za sehemu ni:

  • Kutoa msaada wa kiufundi, kifedha na kuzijengea uwezo Halmashauri zaWilaya hii ni pamoja na uundaji wa vyombo vya watumia maji, kubuni, kuandaa,kujenga na kusimamia miradi ya maji;
  •  Kusimamia maandalizi na utekelezaji wa miradi ya maji ya kitaifainayosimamiwa na serikali moja kwa moja.

Sehemu ya Menejimenti na Msaada kwa Jamii

Kazi zake ni:

  • Kusimamia uanzishwaji wa vyombo vya watumiaji maji kisheria ili kuwezeshausimamizi wa miradi ya maji vijijini;
  •  Kusaidia na kuwezesha ushiriki wa sekta binafsi na wadau wengine katikautoaji wa huduma ya maji na usafi wa mazingira.

Sehemu ya Mipango na Utekelezaji
Kazi zake ni:

  • Kusaidia na kufuatilia maandalizi ya mipango na bajeti zaHalmashauri za Wilaya katika masuala ya huduma za usambazaji maji safi na usafiwa mazingira;
  •  Kusaidia kutoa miongozo ya utekelezaji wa mikakati ya utoaji wa huduma yamaji vijijini kwa Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri za Wilaya na Wadauwengine.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • MHE.MCHENGERWA AONGOZA KIKAO CHA MAAFISA HABARI

    May 24, 2025
  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa