• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Idara
      • Huduma ya Maji
      • Miundombinu
      • Sekta ya Afya
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Fedha
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Sekta ya Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Ugavi
    • Kata
    • Vijiji
    • Mitaa
  • Uwekezaji
    • Kiwanda Cha Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Land and Natural Services
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Standing Commitees
    • Timetable
      • Councilors Meeting
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Minutes
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

Rungwe yetu watoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji

Imewekwa Tarehe: December 28th, 2020

Taasisi isiyo ya kiserikali ya Rungwe yetu imetoa jumla ya mifuko 50  ya saruji Kwa halmashauri ya wilaya ya Rungwe ikiwa ni  sehemu ya kuunga mkono juhudi za wananchi  katika ukamilishaji wa ujenzi wa madarasa Kwa ajili ya kidato cha kwanza mapema januari mwakani.


Akikabidhi stakabadhi ya malipo ya saruji hiyo, Mwenyekiti wa Rungwe yetu bwana Geoffrey Mwambene amesema kuwa msaada huo umetolewa Kwa lengo la kuboresha miundombinu ya ufundishaji ikiwa ni pamoja na kuinua kiwango cha ufaulu Kwa shule zote wilayani Rungwe.


Hata hivyo akipokea stakabadhi hiyo, Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Rungwe  Bi. Loema Peter amesema kuwa msaada huo umefika katika kipindi mwafaka kwani bado mahitaji na juhudi zinahitajika kukamilisha ujenzi wa madarasa Kwa lengo la kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanaanza masomo yao mapema mwakani.
"Msaada huu umefika katika mikono salama na niwahakikishie itafanya kazi iliyokusudiwa" amesisitiza.


Rungwe yetu pia imetoa mifuko 20 ya saruji Kwa halmashauri ya Busokelo.


BAADHI YA SHUGHULI ZILIZO FANYWA NA RUNGWE YETU:
1. Ugawaji wa Taulo za kike mashuleni
2.Uhamashaji KILIMO cha kahawa na parachichi Kwa wananchi
3.Ushiriki ujenzi wa choo hospitali ya wilaya Tukuyu-MAKANDANA4.Utoaji wa misaada Kwa watu kwenye mahitaji maalumu mfano Shule ya msingi KATUMBA Mchanganyiko.
5. Uhamasishaji wa wadau mbalimbali kuwekeza katika wilaya ya Rungwe.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA 2021 WILAYA YA RUNGWE December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 16, 2020
  • TAKUKURU WAOKOA MAMILIONI YA SHILINGI WILAYANI RUNGWE August 20, 2020
  • TANGAZO LA VIBANDA VYA BIASHARA-MPUGUSO August 18, 2020
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA CHANZO CHA MAJI

    December 30, 2020
  • DED ASISITIZA WANANCHI KUENDELEA KUCHANGIA MAENDELEO

    December 29, 2020
  • MIUNDO MBINU YA SOKO LA TUKUYU YABORESHWA

    December 29, 2020
  • DC Akagua barabara ya Lami

    December 29, 2020
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Kurasa za Karibu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2020 GWF. Haki Zimehifadhiwa