• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

NAMNA YA KUFAULU MTIHANI

1.Hakikisha kazi yako inakuwa safi/ nadhifu ili kumvutia msahihishaji.

2. Amini kuwa majibu yako ni sahihi zaidi, usidhani ya jirani yako ni sahihi kuzidi yawezekana ndo amekosea zaidi kukuzidi wewe. Jiamini kuwa wewe unaakili kuzidi jirani yako.
3. Hakikisha michoro yote unachora vizuri kwa usafi kwani ina nafasi kubwa kukuongezea alama na ushindi.
4.Hakikisha unamaliza maswali yote kadri ulivyoelekezwa kwani kushindwa kufanya hivyo ni ngumu kupata alama za juu za ushindi.
5.Ukiingia kwenye chumba cha mtihani usianze kufanya mtihani, tulia, vuta pumzi, jinyoshe, sikiliza maelekezo ya msimamizi wa mtihani, kisha pitia maswali yote kwa usahihi na rudiarudia tena kupata dhana (concept) halisi na mbinu zilizofumbwa.
6.Chukua kalamu yako na tiki maswali yote unayojua.
7 Anza na maswali unayoyajua kisha malizia na maswali magumu.
8. Ikiwezekana fanya maswali yenye maksi nyingi zaidi kabla  ubongo haujachoka na unakumbuka vitu vingi na kisha malizia yenye maksi hafifu.
9.Usiingie na makaratasi (cheating aid) yenye sura ya udanganyifu kwani unaweza kufutiwa matokea na kuharibu maisha yako.
10. Kwa somo la HESABU unapoanza  mtihani, andika kanuni/ fomular muhimu zote nyuma ya karatasi kwa hiyo itakuongezea kujibu maswali kiurahisi.
11.Usijali kama wengine wanamaliza kabla yako, yawezekana wameshindwa sasa wewe una nafasi ya kupata ushindi.
12. Usiigilizie/ Kunakili kwa jirani yako majibu yawezekana  mwanafunzi kando yako amejibu visivyo.
13. Ukiwa na muda, angalia mtihani/ majibu yako tena. Tafuta makosa uzembe.
14. Usipolijua jibu liruke halafu rudi baadaye. mara nyingine unaweza kutafuta jibu katika vipande vingine vya mtihani.

Matangazo

  • FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO ZILIZOPOKELEWA KWA KIPINDI CHA MWEZI JULAI, 2020 HADI FEBRUARI, 2021 March 17, 2021
  • TANGAZO LA ZABUNI March 30, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA 2021 WILAYA YA RUNGWE December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 16, 2020
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • MILLION 250 ZATOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

    March 31, 2021
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE YAFANYIKA

    March 08, 2021
  • KILIMO CHA NYANYA KUWANUFAISHA WAKAZI WA RUNGWE DC

    March 05, 2021
  • TASAF YATOA MAFUNZO

    March 02, 2021
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa